Social Accountability through Youth (SAY)

UWAJIBIKAJI WA JAMII KUPITIA VIJANA (UWAJAKUVI)

SAY Project Summary

English

Why is Social Accountability through Youth in Tanzania important?

Substantial development spending is taking place in the Dodoma, Iringa and Morogoro regions of Tanzania. However, development projects in these areas do not regularly use transparent social accountability systems. This can often lead to marginalised groups, such as young people and those with disabilities, not having a voice in how the projects are implemented in their own communities. SAY will increase the success rate and value for money of development investments.

Tanzania’s population is also among the youngest in the world and young people represent a vital asset in improving the transparency, value for money, equity and sustainability of development projects. It is Raleigh International’s belief that providing young people with the knowledge, skills and social capital they need is vital for them to support their communities and hold development organisations to account.

Our approach

STEP 1: In the regions targeted, 35 young people will be identified, recruited and trained as Youth Cluster Coordinators (YCCs), leading initial baselines and formative research to ensure that the project approach is fully relevant to the local context.

STEP 2: YCCs will recruit 358 local youth as Community Monitors (CMs) from 179 communities, training and supporting them to use appropriate means to gather feedback on project delivery. The CMs will be supported to ensure that no-one is excluded from participating in the process.

STEP 3: Supported by the YCCs, SAY’s 358 CMs will empower communities to identify issues in the delivery of local projects. Results will be uploaded to IA’s DevCheck platform and presented locally to Joint Working Groups (JWGs) – collaborative forums comprised of community leadership, implementing agencies and local and regional government authorities.

STEP 4: Working together through the JWGs, all stakeholders including the CMs and implementing agencies will discuss and agree on solutions to any issues identified. Fixes that have been agreed will be publicised through regular community events and online, closing the feedback loop.

STEP 5: 15 SAY Campaign Coordinators (SCCs) will be recruited and trained to run inclusive campaigns enthusing marginalised groups and local leaders in additional communities to undertake community-led accountability on future projects. The dissemination of a toolkit will further enhance the capacity of the communities to embed the model.

STEP 6: Regional and district authorities will undertake joint monitoring visits to communities alongside implementing agencies. SAY aims to ensure that autonomous, transparent and collaborative community feedback will be encouraged as a norm for all future project delivery in the three regions. SAY aims to support the signing of agreements to this end by the three regional administrative secretariats by 2022.

How can you get involved?

  • Are there projects taking place in your community?
  • Have you ever found that these projects are not implemented as they should be?
  • Do you sometimes wonder what you could do to change this and make sure these projects deliver what’s promised?

From early 2020, the SAY project is rolling out a campaign to get more people involved in monitoring the projects delivered in their communities – and we’d love for you to be part of this!

We’ve developed a Community Integrity Building toolkit that will support you to monitor the projects in your community, identify where things aren’t going to plan and work with other community members to fix these. This means the projects will be better quality, have more impact and ultimately be of greater benefit to you and your community.

Fill out the form below and you’ll go through to a page where you can download the toolkit.

Swahili

KWANINI UWAJIBIKAJI WA JAMII KUPITIA VIJANA NI MUHIMU?

Miradi mingi ya maendeleo inatekelezwa katika mikoa ya Dodoma,Iringa na Morogoro,Hata hivyo Miradi ya maendeleo katika maeneo  haya hakuna mfumo wa uwajibikaji na Uwazi .Hali inayopelekea makundi tengwa kama vijana na watu wanaoishi na ulemavu kukosa sauti ya kusema katika miradi inayotekelezwa katika jamii zao,UWAJAKUVI itaongeza ufanisi na Kuonesha thamani ya pesa katika uwekezaji wa miradi ya maendeleo.

Tanzania ni moja kati ya chi zenye idadi kubwa ya vijana ulimwenguni na vijana wanawajibika kuboresha mfumo wa uwazi, Kuonesha Thamani ya pesa, usawa na uendelevu katika miradi ya maendeleo.

Shirika la kimataifa la Raleigh linaamini katika kuwawezesha vijana maarifa, ujuzi ni mitaji kwa jamii ambayo itawezesha kusaidia jamii zao kufuatilia Taasisi za maendeleo kuwajibika.

MBINU YETU

HATUA 1: Katika mikoa iliyolengwa, vijana 35 watachaguliwa na kupewa mafunzo kama waratibu wa mradi (YCCs), wataongoza dodoso la mwanzo na kufanya tafiti kuhakikisha dhana inayotumika kwenye mradi inayoeendana na Mazingira halisi.

HATUA 2: Waratibu wa mradi watachagua wafuatiliaji wa miradi 358 kutoka katika jamii 179, watawafundisha na kuwasaidia katika njia ya kupokea taarifa na kurudisha Taarifa katika miradi. Wafuatiliaji watasaidiwa kuhakikisha hakuna hata mmoja atakayeachwa kwenye mchakato.

HATUA 3: Kwa msaada wa Waratibu wa Mradi, Wafuatiliaji wa Mradi 358 wataisaidia jamii kujua kinachoendelea katika miradi iliyopo katika jamii yao.Matokeo yatawekwa kwenye programu tumishi ya Devcheck na changamoto zilizoibuliwa zitawakilishwa kwenye Kikundi kazi (JWG) yenye muunganiko wa viongozi wa Kijiji,

Watekelezaji wa miradi na Serikali za mitaa na Mkoa.

HATUA 4: Kufanya kazi pamoja na kikundi kazi kilichojumuisha wadau mbalimbali na watekelezaji wa miradi watajadiliana na kukubaliana kwa chochote kitakachoibuliwa.

Changamoto ambazo zitatatuliwa zitawakilishwa kwa wananchi kupitia mikutano ya vijiji na njia za mitandao ili kukamilisha dhana ya kurudisha mrejesho kwenye jamii.

HATUA 5: Watachaguliwa waratibu 15 wa kampeni na kupewa mafunzo jinsi ya kufanya kampeni shirikishi yenye kuwajumuisha makundi tengwa na viongozi kutoka jamii za ziada zitakazongezwa ili kujifunza mfumo wa uwajibikaji katika miradi. Watapewa muongozo wa kujenga uadilifu wa jamii ili kuijengea uwezo wa kutumia mfumo.

HATUA 6: Wadau kutoka ngazi ya mkoa na wilaya watatembelea jamii wakisaidiana na Watekelezaji wa Mradi.UWAJAKUVI utahakikisha kunakuwa na uhuru, uwazi na Mrejesho jumuishi ambao utajenga tabia katika utekelezaji wa miradi katika mikoa mitatu.

UWAJAKUVI inalenga kusaidia kusainiwa kwa makubaliano na makatibu tawala wa mikoa mitatu mpaka kufikia 2022.

Unawezaje kushiriki?

  • Je, kuna mradi unaoendelea kwenye jamii yako?
  • Je, umewahi kufikiri kuwa miradi hiyo hazitekelezwi ipasavyo?
  • Umeshawahi kujiuliza kuwa wewe unaweza kuwa na mchango gani ili kuleta mabadiliko na kuhakikisha miradi inatekelezwa kama ilivyoahidiwa?

Kuanzia mwanzo wa Mwaka 2020, Mradi wa Uwajibikaji wa Jamii Kupitia Vijana umeanza kutekeleza kampeni ili kuwafikia watu wengi katika kutathmini miradi kwenye jamii zao – tungependa uwe sehemu ya kampeni hii !

Tumeandaa muongozo wa kujenga Uadilifu ndani ya jamii itakayosaidia kufanya ufuatiliaji katika jamii, kutambua changamoto na kukaa na jamii ili kupata suluhu. Hii itasadia miradi kuwa yenye ubora na faida kubwa katika jamii.

Jaza fomu hapa chini na kisha utapakua muongozo huu.