English
Youth-led sustainable development organisation Raleigh Tanzania, and partner Integrity Action (IA), have launched an innovative new project in Tanzania which will see young people in rural communities holding development projects, and the organisations delivering them, to account.
The project, Social Accountability through Youth (SAY), has been awarded a four-year UK Aid Direct funding grant from the UK government. It will be implemented by Raleigh Tanzania, in partnership with IA, between April 2018 and March 2022.
SAY aims to increase the success rate and value for money of development spending in the Dodoma, Iringa and Morogoro regions of Tanzania, benefitting more than 500,000 people. It will do this by empowering over 400 young women and men, including people with disabilities, to effectively and independently monitor project delivery across 179 communities. Through improved reporting systems – such as a dedicated app named DevCheck – and specialised training, these young Tanzanians will gain an increased ability and confidence to hold development organisations to account and encourage their communities to do the same.
The communities targeted through SAY will be linked with other development organisations and local government authorities, who will support the community-led approach with monitoring visits and encourage the use of this accountability model in other areas. Additionally, over 1,900 other communities will be targeted through media and face-to-face campaigns on the benefits of social accountability and the steps they can take to establish community-led, autonomous monitoring of development projects in their own areas.
Read on to find out more about the SAY project and how you can get involved.
Swahili
Raleigh Tanzania ni shirika la maendeleo endelevu kupitia vijana ikishirikiana na Integrity Action (IA). Wanatekeleza mradi mpya wa kibunifu nchini Tanzania, Mradi utakaowapa fursa vijana kutoka jamii za vijijini kuwajibika katika miradi ya maendeleo.
Mradi wa uwajibikaji wa jamii kupitia vijana (UWAJAKUVI), Utaendeshwa kwa muda wa miaka kwa msaada kutoka UK Aid Direct Funding kutoka Serikali ya Uingereza.Mradi utatakelezwa na Raleigh Tanzania kwa kushirikiana na Integrity Action (IA) kuanzia Mwezi wa Nne 2018 hadi Mwezi wa tatu 2022.
UWAJAKUVI ina lengo la kuongeza uhalisia na Thamani ya pesa za maendeleo katika mikoa ya Dodoma,Iringa and Morogoro, Itakayonufaisha Zaidi ya watu 500,000.Itafanyika kwa kuwawezesha Zaidi ya wanawake,wanaume pamoja na watu wanaoishi na ulemavu 400 kuwa wafuatiliaji wa miradi katika jamii 179.Kupitia mfumo wa kutoa mrejesho Itatumika programu tumishi inayoitwa DevCheck na vijana hawa watapewa mafunzo ambayo yatawaongezea uwezo na kujiamini katika kusimamia Taasisi za maendeleo kuwajibika na kuhamasisha Jamii zao kutumia njia hiyo.
Jamii lengwa kupitia mradi wa UWAJAKUVI wataunganishwa na Taasisi za maendeleo Pamoja na halmashauri, ambao watatoa msaada wa kuwatembelea na kuhamasisha wengine kutumia dhana ya uwajibikaji katika maeneo mengine.,Zaidi ya Jamii 1900 zitafikiwa kupitia vyombo vya habari na Kampeni za ana kwa ana kwa manufaa ya uwajibikaji wa jamii.Hatua hii itapelekea jamii kuamka na kufatilia miradi ya maendeleo katika maeneo mengine.
Endelea kusoma ili ufahamu zaidi kuhusu mradi wa SAY na namna ambavyo unaweza kushiriki.
Endelea kusoma ili ufahamu zaidi kuhusu mradi wa SAY na namna ambavyo unaweza kushiriki.