Kesho Tutachelewa | Tomorrow Is Too Late

English

Pledge to take action now to reverse the rate of deforestation in Tanzania, because tomorrow is too late.

Through a nationwide campaign called #Keshotutachelewa, young people from all over Tanzania are taking action to combat deforestation and climate change.

Designed and delivered by Tanzanian youth, #KeshoTutachelewa will help to make positive changes to behaviours that support environmental protection and engage decision makers in discussions about environmental policy.

Over the next three years #KeshoTutachelewa will seek to increase the adoption of clean energy sources (like gas and sustainable charcoal) among young mamas; increase collaboration between youth, decision makers and partners for the implementation of positive environmental policy, as well as mobilise millions of other young people through a huge national tree planting effort

The truth about deforestation in Tanzania

Despite their global ecological significance, Tanzania’s forests are currently being lost at a rate of 300,000-400,000 hectares each year, more than twice the global average. The impacts of the over-extraction of timber and other goods have resulted in substantial levels of fragmentation and degradation, and between 2001 and 2015 1,846,849 Ha of land were lost.

Some of the major drivers

Reliance on charcoal and timber for domestic consumption purposes perpetuates forest loss, and whilst strong support from the Government of Tanzania exists for a shift towards cleaner energy sources, deeply ingrained behaviours and attitudes among the population of Tanzania pose an additional barrier to the transition away from charcoal.

Take action

If you enjoyed reading this, you are now part of something big. We bet you’ll have something to say! Share what you learned with your friends and colleagues using #Keshotutachelewa /#Tomorrowistoolate and don’t forget to follow us on our social media pages?

Facebook: https://www.facebook.com/RaleighTanzaniaSociety/

Twitter: https://twitter.com/raleighsociety_

Instagram: https://www.instagram.com/raleightanzaniasociety/

Swahili

Ahidi kushiriki sasa kwa kufanya matendo ambayo yatalenga kupunguza ukataji hovyo wa miti Tanzania, Uanze sasa kwani KeshoTutachelewa.

Kupitia Kampeni hii ya kitaifa inayoitwa #Keshotutachelewa, vijana wote kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania wataungana kudhibiti ukataji hovyo wa miti na mabadiliko ya tabia ya nchi.

Ikiwa imepangwa na kutekelezwa na vijana wa Tanzania kampeni hii ya #Keshotutachelewa itasaidia kuleta mabadiliko chanya ya tabia ambazo zitachangia ulindwaji wa mazingira na kuhusisha wafanya maamuzi kama viongozi wa kiserikali kwenye mijadala inayohusu sera za ki mazingira .

Kwa miaka mitatu ijayo kampeni hii ya #KeshoTutachelewa itajikita kwenye kuongeza utumiaji wa nishati rafiki kwa mazingira ( kama utumiaji wa gesi na mkaa endelevu) hususani kina mama wadogo ( vijana wa kike) ; Kuongeza ushirikiano baina ya vijana, wafanya maamuzi na washiriki wengine kwenye kutekeleza sera chanya za mazingira , lakini pia kampeni hii itafanya kuwashirikisha ma milioni ya vijana wengine kupitia juhudi za kitaifa za kupanda miti.

Ukweli kuhusu ukataji miti Tanzania

Japokuwa misitu imakua na msaada mkubwa sana kwenye ikolojia ( Kutegemeana kwa viumbe) , Misitu ya Tanzania imekua ikipotea kwa kiwango ch hekta 300,000 – 400,000 kila mwaka. , Zaidi hata ya kiwango cha upotevu wa misitu kidunia. Matokeo ya ukataji mbao uliokithiri na bidhaa zingine zimesababisha kiwango kikubwa sana cha uharibifu wa misitu na miti na kati ya mwaka 2001 mpaka 2015 (yaani miaka 14) zaidi ya hekta 1,846,849 zimeteketea na ukataji hovyo wa miti.

Baadhi ya sababu kubwa zinazochangia

Utegemezi wa mkaa na mbao kwa matumizi ya kila siku unasimama kama chanzo kwenye kuteketeza misitu, ingawa kuwekuwa na juhudi kubwa ya serikali ya Tanzania kwenye kufanya watu wahamie kwenye matumizi ya nishati rafiki kwa mazingira , tabia zilizo zoeleka zaidi na mtazamo uliopo miongoni mwa Watanzania wengi umekua ni kikwazo kikubwa sana kwenye kufanikisha mabadiliko haya ya kuacha kutumia mkaa.

Chukua hatua sasa

Kama umeelewa na kukubaliana ulichokisoma hapo juu , basi tayari wewe ni sehemu ya kitu kikubwa sana, Hongera. Sasa hizi hapa ni njia unaweza zitumia kubadili hali hii anza kwa kupiga picha sehemu yoyote yenye mti/miti ama mazigira mazuri au matumizi yoyote ya nishati mbadala inaweza kua gesi/ mkaa mbadala/ jiko sanifu na share/ sambaza picha hio kwenye mitandao ya kijamii huku ukitumia #HashTag yetu ya #keshoTutachelewa na unaweza ku tag kwa kurasa yetu ya @Raleigh Tanzania Society .

Bila shaka unaweza kuwa na chochote cha kusema , Usisite sambaza ujumbe huu kwa Rafiki zako wafahamu habari hii pia ukitumia HashTag ya #KeshoTutachelewa #TomorrowIsTooLate

KUMBUKA: Usisahau kutufuata kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii kama

Facebook: https://www.facebook.com/RaleighTanzaniaSociety/

Twitter: https://twitter.com/raleighsociety_

Instagram: https://www.instagram.com/raleightanzaniasociety/